Jumapili, 20 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani

I
Imani kuu, upendo mkubwa vinahitajika kutoka kwako katika kazi ya siku za mwisho.
Unaweza kujikwaa kama wewe si mwangalifu, kwa sababu kazi hii sio kama awali.
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
Mtu hawezi kuiona, mtu hawezi kuigusa.
Mungu hugeuza maneno kuwa imani, upendo, na uzima.
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
II
Mwanadamu lazima astahimili mamia ya usafishaji, awe na imani iliyo kuu zaidi kuliko ya Ayubu.
Anapaswa kupitia mateso makubwa bila kuondoka kutoka kwa Mungu
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
Mtu hawezi kuiona, mtu hawezi kuigusa.
Mungu hugeuza maneno kuwa imani, upendo na uzima.

III
Anapokuwa mtiifu na mwenye imani kuu hadi kufa,
basi hatua hii ya kazi ya Mungu itakuwa imetimia.
Sio rahisi kama unavyofikiria.
Kadri isivyolingana na fikira za mwanadamu, ndivyo umuhimu wake ulivyo wa kina, eh …
Kadri inavyolingana na dhana za watu, ndivyo
inavyokuwa na thamani ya chini zaidi, na bila umuhimu halisi.
Fikirieni hili kwa makini!
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
Mtu hawezi kuiona, mtu hawezi kuigusa.
Mungu hugeuza maneno kuwa imani, upendo na uzima.
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
Ee, kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.

Naam, kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
kutoka katika "Njia… (8)" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni