Jumatatu, 11 Februari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Unaijua Kazi ya Mungu?

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Unaijua Kazi ya Mungu?

I
Kazi ya Mungu katika mwili si ya kuvutia, wala haijazingirwa na mafumbo.
Ni ya kweli na hakika, kama vile moja ikiongezwa moja ni mbili;
haijafichwa na haina unafiki.
Kila ambacho watu wanaona ni halisi,
na vile vile ukweli na maarifa wanayofikia.
Kazi hiyo inapofika mwisho wake, maarifa kumhusu Yeye yatafanywa upya.
Na dhana za wale wanaomtafuta kwa kweli zitakuwa zimeondoka.
Haya si matokeo ya kazi Yake kwa watu wa China pekee,
bali inaakisi kazi Yake ya kushinda binadamu wote,
inaakisi kazi Yake ya kushinda binadamu wote.
II
Kwa kuwa mwili huu, kazi Yake, na kila kitu kumhusu Yeye
kinafaidi kazi Yake ya ushindi zaidi ya kitu kingine chochote.
Kinaifaidi kazi Yake leo na kesho.
Mwili huu utashinda wanadamu wote na utawapata wanadamu wote pia.
Hakuna kazi nzuri zaidi kwa binadamu kutazama, kumtii na kumwelewa Mungu.
Na dhana za wale wanaomtafuta kwa kweli zitakuwa zimeondoka.
Haya si matokeo ya kazi Yake kwa watu wa China pekee,
bali inaakisi kazi Yake ya kushinda binadamu wote,
inaakisi kazi Yake ya kushinda binadamu wote.
kutoka katika "Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni