Alhamisi, 23 Agosti 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili worship songs | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo,


  • I
  • Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
  • Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
  • Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
  • Nikitafuta juu na chini,
  • lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
  • yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.
  • Mungu wa vitendo na wa kweli,
  • upendo ndani ya moyo wangu.
  • Nainua mikono yangu kwa sifa,
  • ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.
  • II
  • Mwanadamu alitoka mavumbini,
  • na Mungu akampa uhai.
  • Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu.
  • Ubinadamu na mantiki yao yamepotea.
  • Kizazi baada ya kizazi,
  • kimeanguka tangu siku hiyo.
  • Lakini Wewe ni …
  • Mungu wa vitendo na wa kweli,
  • upendo ndani ya moyo wangu.
  • Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako.
  • Ninawezaje kukosa kuabudu?
  • Mungu wa vitendo na wa kweli,
  • upendo ndani ya moyo wangu.
  • Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako.
  • Ninawezaje kukosa kukuabudu?
  • III
  • Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana,
  • kiasi kwamba Alipata mwili tena,
  • Alistahimili mazuri na mabaya,
  • taabu na huzuni,
  • Akituokoa na kutuleta mahali pazuri.
  • Tutakushukuru Wewe daima.
  • Mungu wa vitendo na wa kweli,
  • upendo ndani ya moyo wangu.
  • Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa!
  • Ninawezaje kukosa kuabudu?
  • Mungu wa vitendo na wa kweli,
  • upendo ndani ya moyo wangu.
  • Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa!
  • Ninawezaje kukosa kukuabudu?
  • Ninawezaje kukosa kukuabudu?
  • Ninawezaje kukosa kukuabudu?
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni