- Kama Nisingeokolewa na Mungu
- I
- Kama nisingeokolewa na Mungu,
- ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
- nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi;
- kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.
- Kama nisingeokolewa na Mungu,
- bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani,
- kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake,
- bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
- Kama nisingeokolewa na Mungu,
- nisingekuwa na baraka zangu leo,
- wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi
- ama maana ya maisha yetu.
- Kama nisingeokolewa na Mungu,
- bado ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu,
- nikiwa ningali katika nafasi tupu nikisukuma siku,
- bila kujua imani yangu iwe kwa nani.
- Hatimaye nimeelewa
- mikono ya upendo ya Mungu imeshika yangu safarini.
- Sitaweza kwenda na kupotea njia
- kwa sababu niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa.
- Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu,
- yenye ari kwa mtu.
- Fikra danganyifu kuondolewa kabisa,
- nitampa Mungu mwili wangu na roho yangu.
- II
- Kama nisingeokolewa na Mungu,
- nisingekuwa na baraka zangu hapa leo,
- wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi
- ama maana ya maisha yetu.
- Kama nisingeokolewa na Mungu,
- bado ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu,
- nikiwa ningali katika nafasi tupu nikisukuma siku,
- bila kujua imani yangu iwe kwa nani.
- Hatimaye nimeelewa
- mkono wa upendo wa Mungu umeushika wangu safarini.
- Sitaweza kwenda na kupotea njia
- kwa sababu niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa.
- Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu,
- yenye ari kwa mtu.
- Fikra danganyifu kuondolewa kabisa,
- nitampa Mungu mwili wangu na roho yangu.
-
- kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
0 意見:
Chapisha Maoni