Jumatano, 12 Septemba 2018

nyimbo za love | Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, nyimbo,


    💓💓  → → 🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓    😊😊
  • I
  • Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
  • Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
  • Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
  • Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
  • Wewe ndiye Unayenipa upendo.
  • Wewe ndiye Unayenijali.
  • Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
  • Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
  • Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
  • Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
  • Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana.
  • Usisahau kwenda na upendo wangu,
  • pamoja na upendo wangu.
  • II
  • Bata bukini wa mwituni wawili wawili,
  • wakipaa mbali zaidi.
  • Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?
  • Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.
  • Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.
  • Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
  • Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
  • Nitakupa jibu linalokufurahisha.
  • Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
  • Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,
  • kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.
  • Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.
  • Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.
  • Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
  • Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
  • Nitakupa jibu linalokufurahisha.
  • Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
  • Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

  • Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu wa nyimbo za love, Umeme wa Mashariki Wimbo wa Uzoefu wa Maisha.

0 意見:

Chapisha Maoni