- Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili worship songs | Njia Yote Pamoja na Wewe
-
🎬😇👍
- 🎼🎼 → → 🎙️🎙️ ↓↓ 😊😊
- I
- Nilikuwa kama mashua,
- ikielea baharini.
- Ulinichagua,
- na mahali pazuri Uliniongoza.
- Sasa katika familia Yako,
- nikipewa joto na upendo Wako,
- nina amani kabisa.
- Unanibariki,
- Unatoa maneno Yako ya hukumu.
- Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako.
- Kila mara nikiasi,
- kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako.
- Na bado Hunitendei kulingana na dhambi zangu
- lakini Unafanya kazi kwa ajili ya wokovu wangu.
- Ninapokuwa mbali,
- Unaniita nirudi kutoka hatarini.
- Ninapoasi, Unauficha uso Wako,
- giza likinifunika.
- Ninaporudi Kwako,
- Unaonyesha neema,
- Unatabasamu ili kukumbatia.
- Shetani anaponipiga,
- Unatibu vidonda vyangu,
- Unaupa joto moyo wangu.
- Shetani anaponiumiza,
- Uko nami kuanzia mwanzo hadi mwisho wa majaribu.
- Alfajiri itafika karibuni,
- na anga itang’aa samawati kama awali,
- wakati Uko nami.
- Alfajiri itafika karibuni,
- anga itang’aa samawati kama awali,
- wakati Uko nami.
- II
- Wewe ni uhai wangu,
- Wewe ni Bwana wangu.
- Mwenzi wa kila siku,
- kivuli cha karibu kando yangu.
- Ukinifunza jinsi ya kuwa binadamu
- na kunipa ukweli na uhai.
- Pamoja na Wewe maisha yangu
- yanasonga mbele kwa utukufu.
- Bila chaguo langu,
- natii amri Yako.
- Kuwa kiumbe wa kweli,
- narudi upande Wako.
- Kuishi katika uwepo Wako,
- nazungumza na Wewe na kusikia sauti Yako.
- Hutangoja tena katika umbali mpweke.
- Pamoja na Wewe,
- hakuna kuogopa dhoruba.
- Usiku unaponifunika,
- siko pekee yangu tena.
- Pamoja na Wewe kando yangu,
- hatari au matatizo, naweza kuvikabili.
- Pamoja na Wewe,
- safari hazitakuwa ngumu sana.
- Njia zenye mabonde
- zinapita katika matatizo,
- zinafungua njia kwenda kwa chemichemi ya kupendeza.
- Alfajiri itafika karibuni,
- anga itang’aa samawati kama awali,
- wakati Uko nami.
- Pamoja na Wewe,
- hakuna kuogopa dhoruba tena.
- Usiku unaponifunika,
- siko pekee yangu tena.
- Pamoja na Wewe kando yangu,
- hatari na matatizo, naweza kuvikumba.
- Pamoja na Wewe,
- safari haziwezi kuwa ngumu sana.
- Njia zenye mabonde
- zinapita katika matatizo,
- zinafungua njia kwenda kwa chemichemi ya kupendeza.
- Alfajiri itafika karibuni,
- anga itang’aa samawati kama awali.
- Niko pamoja na Wewe.
- kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya
Sikiliza zaidi: Umeme wa Mashariki Video za Nyimbo za Dini.
0 意見:
Chapisha Maoni