- I
- Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
- Moyo wangu una mengi ya kusema
- ninapoona uso Wake wa kupendeza.
- Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
- Neno Lake linanijaza na raha
- na furaha kutoka kwa neema Yake.
- Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
- huninyunyizia
- na kunistawisha ili nikuwe.
- Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
- Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
- Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
- Mwenyezi Mungu wa kweli
- ambaye Ametupenda!
- Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
- II
- Nataka kuwa na shauku ya neno Lako
- katika siku zangu zote.
- Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia.
- Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo.
- Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.
- Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
- huninyunyizia
- na kunistawisha ili nikuwe.
- Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
- Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
- Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
- Mwenyezi Mungu
- wa kweli ambaye Ametupenda!
- Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
- III
- Ndugu! Tuinukeni na tusifu!
- Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.
- Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,
- hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu
- katika matendo halisi,
- tutimize wajibu wetu
- kwa moyo na nuvu.
- Tunakupenda, Mwenyezi Mungu!
- Hatutawahi kukuacha!
- Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
- huninyunyizia
- na kunistawisha ili nikuwe.
- Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
- Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
- Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
- Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
- huninyunyizia
- na kunistawisha ili nikuwe.
- Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
- Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
- Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
- Mwenyezi Mungu
- wa kweli ambaye Ametupenda!
- Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
- Kwa sababu Umetuinua.
- Mwenyezi Mungu
- wa kweli ambaye Ametupenda!
- Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
-
- kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
0 意見:
Chapisha Maoni