Jumatatu, 4 Februari 2019

Nyimbo za injili | Watu Wanaopatwa na Mungu Wamemiliki Uhalisi

Nyimbo za injili | Watu Wanaopatwa na Mungu Wamemiliki Uhalisi

I
Mungu ni Mungu wa utendaji.
Kazi Yake yote, kila neno Lake,
ukweli alioonyesha ni wa utendaji.
Vingine vyote ni vitupu na visivyo na maana.
Roho Mtakatifu atamwongoza mwanadamu
Kuingia katika uhalisi, mwanadamu anahitaji
kutafuta, kujua, na kuupitia.
Wale walio nao na kuujua uhalisi
ndio ambao hupatikana na Mungu.
Wanajua matendo Yake kwa kupitia uhalisi.
Unavyoshirikiana na Mungu zaidi
na unavyoupa mwili wako nidhamu zaidi,
ndivyo Mungu atakavyofanya kazi zaidi na kuangaza nuru kwako,
na utapata uhalisi na kujua matendo ya Mungu.
II
Anayejua ukweli zaidi anaweza kuona
maneno ya nani ni ya kweli, na yana mawazo machache.
Uzoefu zaidi, ndivyo mwanadamu anavyojua zaidi matendo ya Mungu
na kutupilia mbali upotovu wake.
Ukweli zaidi walio nao,
ndivyo wanavyomjua Mungu zaidi,
wachukia mwili na kupenda ukweli,
karibu na viwango vya Mungu.
Wale walio nao na kuujua uhalisi
ndio ambao hupatikana na Mungu.
Wanajua matendo Yake kwa kupitia uhalisi.
Unavyoshirikiana na Mungu zaidi
na unavyoupa mwili wako nidhamu zaidi,
ndivyo Mungu atakavyofanya kazi zaidi na kuangaza nuru kwako,
na utapata uhalisi na kujua matendo ya Mungu.
III
Ishi katika mwanga uliopo wa Mungu,
njia yako ya matendo itakuwa wazi.
Unaweza kujiweka huru mbali na matendo ya zamani
na mawazo ya zamani ya kidini.
Sasa lengo ni kwenye ukweli.
Kadiri mwanadamu anavyoumiliki,
ndivyo ujuzi wake wa ukweli unavyokua zaidi
na uelewa wa mapenzi ya Mungu.
Wale walio nao na kuujua uhalisi
ndio ambao hupatikana na Mungu.
Wanajua matendo Yake kwa kupitia uhalisi.
Unavyoshirikiana na Mungu zaidi
na unavyoupa mwili wako nidhamu zaidi,
ndivyo Mungu atakavyofanya kazi zaidi na kuangaza nuru kwako,
na utapata uhalisi na kujua matendo ya Mungu.
kutoka katika "Jinsi ya Kuujua Uhalisi" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

 Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 意見:

Chapisha Maoni