Jumatatu, 4 Februari 2019

Watu Walio na Kazi ya Roho Mtakatifu Peke Yao Ndio Wanaoweza Kukamilishwa

I
Masharti yanazidi kuwa bora kwa sehemu ya watu.
Roho anavyozidi kufanya kazi, ndivyo wanavyopumzika wakijiamini.
Wanavyopata uzoefu zaidi, ndivyo wawezavyo kuhisi
fumbo kubwa la kazi ya Mungu.
Mungu hutenda kazi Yake mwanadamu apate ukweli.
Ufuatiliaji wako wa maisha ni kwa ajili ya ukamilishaji Wake,
ili siku moja ufae kwa matumizi ya Mungu.
II
Wanavyoenda kwa kina zaidi, ndivyo wanavyoelewa zaidi,
wana nuru na hawatikisiki, wahisi upendo mkuu wa Mungu.
Wamepata ujuzi wa kazi ya Mungu.
Hawa ndio watu ambao kwao Roho Mtakatifu hufanya kazi.
Mungu hutenda kazi Yake mwanadamu apate ukweli.
Ufuatiliaji wako wa maisha ni kwa ajili ya ukamilishaji Wake,
ili siku moja ufae kwa matumizi ya Mungu.
III
Kuwa na ushuhuda kwa Mungu na kuyaridhisha mapenzi Yake
kunategemea ari ya mtu kufuatilia neno Lake.
Kuwa na ushuhuda kwa Mungu na kuyaridhisha mapenzi Yake
kunategemea ari ya mtu kufuatilia neno Lake.
Mungu hutenda kazi Yake mwanadamu apate ukweli.
Ufuatiliaji wako wa maisha ni kwa ajili ya ukamilishaji Wake.
Mungu hutenda kazi Yake mwanadamu apate ukweli.
Ufuatiliaji wako wa maisha ni kwa ajili ya ukamilishaji Wake,
ili siku moja ufae kwa matumizi ya Mungu.
kutoka katika "Unapaswa Kudumisha Ibada Yako kwa Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza zaidi nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni