Jumanne, 5 Februari 2019

Nia ya Mungu ya Kumwokoa Mwanadamu Haitabadilika

I
Sasa mwanadamu anajua kidogo tabia za Mungu,
kile Mungu alicho nacho na kile alicho, kazi anazofanya Yeye.
lakini bado mengi ya anayofahamu
sio chochote zaidi ya maneno juu ya ukurasa, nadharia akilini.
Mungu hataki yeyote ahisi kutupwa ama kuachwa katika baridi.
Anataka kuona moyo imara unafuata njia
ya kumjua Mungu na kutafuta ukweli.
II
Kile ambacho watu wanakosa ni maarifa ya kweli na
mtazamo unaotokana na uzoefu halisi.
Mungu anajaribu njia tofauti kuuamsha moyo wa mwanadamu,
lakini bado kuna njia ndefu kabla ya kufufuliwa.
Mungu hataki yeyote ahisi kutupwa ama kuachwa katika baridi.
Anataka kuona moyo imara unafuata njia
ya kumjua Mungu na kutafuta ukweli.
Yeye anataka kila mtu aende mbele, asibebe mzigo wowote, asiwe na wasiwasi wowote.
III
Haijalishi umekosea kiasi gani, haijalishi umepotea njia vipi,
usikome kufuata kumjua Mungu.
Unafaa kuendelea mbele.
Moyo wa Mungu kumwokoa mwanadamu hautabadilika kamwe.
Hiki ndicho kitu cha thamani zaidi kwa Mungu.
Mungu hataki yeyote ahisi kutupwa ama kuachwa katika baridi.
Anataka kuona moyo imara unafuata njia
ya kumjua Mungu na kutafuta ukweli.
Yeye anataka kila mtu aende mbele, asibebe mzigo wowote, asiwe na wasiwasi wowote.
kutoka katika "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI" katika Neno Laonekana katika Mwili
 kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kuhusu Sisi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Sikiliza zaidi nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni