Jumamosi, 12 Januari 2019

nyimbo za injili | Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

nyimbo za injili | Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

I
Ni nani aliyetafutwa na Mungu katika ulimwengu huu usio na mwisho?
Ni nani ambaye amesikia mwenyewe maneno ya Roho wa Mungu?
Nani kati yenu anayeweza kumjibu Ayubu? Ni nani kati yenu ni Petro?
Kwa nini Mungu amemtaja Ayubu na Petro mara nyingi?
Je, umeelewa matumaini ya Mungu kwako?
Eh, unapaswa kutumia muda mwingi kutafakari, eh, kutafakari.
II
Wengi watafuta gizani. Wengi wanaomba katika dhiki.
Wengi hutazamia Mungu, wakiwa wenye njaa na baridi. Wengi wamefungwa na Shetani.
Wengi hawajui ni wapi pa kugeuka. Wengi humsaliti Mungu kwa furaha.
Wengi sana hawana shukrani. Wengi waaminifu kwa mipango ya Shetani.
III
Nani kati yenu anayeweza kumjibu Ayubu? Ni nani kati yenu ni Petro?
Kwa nini Mungu amemtaja Ayubu na Petro mara nyingi?
Je, umeelewa matumaini ya Mungu kwako?
Eh, unapaswa kutumia muda mwingi kutafakari, eh, kutafakari, naam.
Unapaswa kutumia muda zaidi, aha.
Nani kati yenu anayeweza kumjibu Ayubu? Ni nani kati yenu ni Petro?
Kwa nini Mungu amemtaja Ayubu na Petro mara nyingi?
Je, umeelewa matumaini ya Mungu kwako?
Eh, unapaswa kutumia muda mwingi kutafakari, eh, kutafakari,
naam, kutafakari, aha, kutafakari.
kutoka katika "Tamko la Nane" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni