Jumatano, 13 Februari 2019

Nyimbo za dini | Dhana na Fikira Hazitawahi Kukusaidia Kumjua Mungu

I
Maarifa ya Mungu hayategemei uzoefu wala mawazo.
Hivi havipaswi kamwe kuwekwa juu ya Mungu.
Kwani haijalishi jinsi uzoefu wa binadamu ulivyo mkuu na matamanio,
hivyo ni vidogo, hivyo sio uhakika wala ukweli,
pia kuwa havikubaliani na tabia halisi ya Mungu,
vikiwa pia ni kinyume na kiini halisi cha Mungu.
Tabia ya Mungu yenye haki ni kiini Chake cha kweli;
haiamuliwi na mwanadamu, wala sio sawa na viumbe Vyake.
Mungu ni Munguhata hivyo, Yeye kamwe si sehemu ya uumbaji Wake mwenyewe.
Hata Akijiunga, tabia Yake, kiini Chake havitabadilika, havitabadilika.
II
Kwa hiyo, ujuzi wa Mungu hauji kutokana na kutambua, kutambua vitu,
wala kutokana na kuchanganua jambo, wala kuelewa wanadamu wengine.
Ujuzi wa Mungu hauwezi kupatikana kupitia namna kama hizo na njia kama hizo.
Ujuzi wa Mungu hautegemei uzoefu wala uwezo wa kubuni.
Hivyo ni vidogo, hivyo sio, sio uhakika wala ukweli.
Tabia ya Mungu yenye haki ni kiini Chake cha kweli;
haiamuliwi na mwanadamu, wala sio sawa na viumbe Vyake.
Mungu ni Munguhata hivyo, Yeye kamwe si sehemu ya uumbaji Wake mwenyewe.
Hata Akijiunga, tabia Yake, kiini Chake, havitabadilika.
Mtu hatawahi kumwelewa Mungu, akitegemea mawazo yake.
Njia pekee ya kumjua Mungu ni hii:
Kubali kila kitu kinachotoka Kwake, kipitie kidogo kidogo.
III

kutoka katika "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II" katika Neno Laonekana katika Mwili
 kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

Kuhusu Sisi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 意見:

Chapisha Maoni