Jumapili, 27 Januari 2019

Nyimbo za injili | Petro Alimjua Mungu Vyema Zaidi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,

Nyimbo za injili | Petro Alimjua Mungu Vyema Zaidi

I
Petro alikuwa mwaminifu kwa Mungu kwa miaka,
lakini hakuwa na moyo wa kulalamika kamwe.
Hata Ayubu hakuwa sawa na yeye,
sembuse watakatifu katika enzi zote.
Hakutafuta tu kumjua Mungu,
lakini kumjua wakati Shetani alipanga njama.
Miaka ya huduma, akiupendeza moyo wa Mungu;
Shetani hangeweza kumtumia.
Petro alimjua Mungu, Petro alimjua Mungu vyema zaidi.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
II
Petro alijifunza kutoka kwa imani ya Ayubu,
lakini alielewa mambo mengine ambayo Ayubu hakuelewa.
Ingawa Ayubu alikuwa na imani kubwa,
yeye hakuwa na maarifa ya ulimwengu wa kiroho.
Alizungumza maneno mengi kimakosa, kutolinganisha haki na ukweli.
Maarifa yake yote yalikuwa bado ya juu juu, yasioweza kukamilika.
Petro alimjua Mungu, Petro alimjua Mungu vyema zaidi.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
III
Petro daima alitafuta kupata hisia ya roho.
Alilenga kuchunguza mienendo ya ulimwengu wa kiroho.
Hakuweza kufahamu tu mapenzi ya Mungu,
bali alielewa baadhi ya hila za Shetani.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
Petro alimjua Mungu, Petro alimjua Mungu vyema zaidi.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
Petro alimjua Mungu, Petro alimjua Mungu vyema zaidi.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
Maarifa yake juu ya Mungu yalikuwa makubwa zaidi kuliko yale ya mtu yeyote.
kutoka katika "Tamko la Nane" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 意見:

Chapisha Maoni