Jumatano, 6 Machi 2019

Matokeo Yanayofanikishwa na Kumjua Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kumjua Mungu
I
Siku moja, utahisi kuwa Muumba si kitendawili tena,
Hajawahi kujificha, kamwe Hajafunika uso Wake kutoka kwako;
Hayuko mbali na wewe kabisa;
Yeye sio Yule unayemtamani tena usiku na mchana
lakini huwezi kumfikia kwa hisia zako.
Yeye amesimama kweli karibu na upande wako,
Akiyaruzuku maisha yako, na kudhibiti majaliwa yako.
Hayuko kwenye upeo wa mbali, wala Hajajificha mawinguni.
Yuko ubavuni mwako kabisa, Akiongoza juu ya kila kitu chako.
Yeye ni kila kitu chako na wako wa pekee.
II
Mungu kama huyu anakufanya umpende,
umheshimu, umshikilie, umshikilie karibu,
unayeogopa kumpoteza, hutaki tena kumpa kisogo na kutomtii,
au kumwepa na kuwa mbali na yeye;
unataka tu kumjali, kumtii,
kulipa yote Anayokupa, utii utawala Wake.
Wewe hukatai tena mwongozo Wake, ruzuku, utunzaji, na ulinzi;
hupingi utawala Wake na mipangilio tena.
Unataka tu kumfuata, kuwa pamoja naye;
unataka tu kumkubali kama maisha yako ya pekee,
kama Bwana na Mungu wako wa pekee.
kutoka katika "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Soma Zaidi: Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

      Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

0 意見:

Chapisha Maoni