Ijumaa, 19 Oktoba 2018

Nyimbo za Neno la Mungu | Ni kwa Kuishi kwa Kudhihirisha Uhalisi tu Ndiyo Unaweza Kutoa Ushahidi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Nyimbo za Neno la Mungu | Ni kwa Kuishi kwa Kudhihirisha Uhalisi tu Ndiyo Unaweza Kutoa Ushahidi

I
Watu wenye ukweli ni wale ambao,
kwa uzoefu, wanasimama imara katika ushuhuda,
imara katika nafasi yao, upande wa Mungu,
bila kurudi nyuma, wakimtii Mungu hadi kifo,
wakiwa na uhusiano wa kawaida na wale wanaompenda Mungu.
Matendo na maonyesho yako
katika maisha halisi ni ushuhuda wa Mungu,
kile ambacho mwanadamu anapaswa kuishi kwa kudhihirisha.
Huku kwa kweli ni kufurahia upendo wa Mungu.
Unapofikia hili,
tokeo litazamiwalo litatimizwa.
II
Wewe unaishi kwa kudhihirisha halisi,
kila tendo linaheshimiwa na wengine.
Sura yako ni ya kawaida, lakini unaishi maisha ya kumcha Mungu.
Unaposhiriki maneno ya Mungu, unapewa nuru na Yeye.
Matendo na maonyesho yako
katika maisha halisi ni ushuhuda wa Mungu,
kile ambacho mwanadamu anapaswa kuishi kwa kudhihirisha.
Huku kwa kweli ni kufurahia upendo wa Mungu.
Unapofikia hili,
tokeo litazamiwalo litatimizwa.
III
Unaweza kunena mapenzi ya Mungu kupitia maneno yako,
kunena uhalisi, kufahamu zaidi kuhusu huduma katika roho.
Wewe u wazi katika kunena kwako,
mzuri na mwadilifu, bila vurugu,
una uwezo wa kutii mipango ya Mungu,
ukisimama imara katika ushuhuda wako.
Mambo yanapokutukia, wewe ni mnyamavu na mtulivu.
Hii ni aina ya mwanadamu
ambaye ameona upendo wa Mungu kwa kweli.
Matendo na maonyesho yako
katika maisha halisi ni ushuhuda wa Mungu,
kile ambacho mwanadamu anapaswa kuishi kwa kudhihirisha.
Huku kwa kweli ni kufurahia upendo wa Mungu.
Unapofikia hili,
tokeo litazamiwalo litatimizwa.
kutoka kwa "Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake" katika Neno Laonekana katika Mwili
Tazama zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nyimbo za Neno la Mungu

0 意見:

Chapisha Maoni