Jumatano, 13 Februari 2019

Jua ya Kwamba Kuadibu na Hukumu ya Mungu ni Upendo

I
Hukumu na kuadibu ni usafishaji na mafichuo yasiyo na huruma,
yanayonuiwa kuadhibu dhambi za mwanadamu, na kuadhibu mwili wake,
lakini hakuna kati ya kazi hii inapaswa kushutumu ama kuagamiza mwili wa mwanadamu.
Ufichuzi mkali wa neno ni ili wewe uweze kupata njia ya kweli.
Eeh … Jua maana ya kazi ya ushindi.
Lazima uione waziwazi sasa, uione waziwazi sasa.
Jua maana ya hukumu na usiwe tena na mitazamo mingi.
Eeh … Jua maana ya kazi ya ushindi. Eeh … Eeh … Eeh …
II
Kazi ya Mungu inakufanya uishi kwa kawaida. Ni kitu ambacho unaweza kupata.
Hakuna mizigo mizito inayowekwa. Kazi hii ni kulingana na mahitaji yako, udhaifu wako na kimo chako cha kweli.
Eeh … Jua maana ya kazi ya ushindi.
Lazima uione waziwazi sasa, uione waziwazi sasa.
Jua maana ya hukumu na usiwe tena na mitazamo mingi.
Eeh … Jua maana ya kazi ya ushindi.
III
Kama huwezi kuelewa kazi hii, basi mbele hataanza kwenda.
Farijika katika wokovu. Lazima ujirudi.
Ingawa huwezi kuona waziwazi sasa;
unahisi kama kwamba Mungu ni mkali kwako, kuwa Anakuhukumu kwa sababu Anakuchukia,
ni upendo wa Mungu, ulinzi kwako.
Eeh … Jua maana ya kazi ya ushindi.
Lazima uione waziwazi sasa, uione waziwazi sasa.
Jua maana ya hukumu na usiwe tena na mitazamo mingi.
Eeh … Jua maana ya kazi ya ushindi.
Jua maana ya kazi ya ushindi, maana ya ndani ya kazi ya ushindi.
Jua maana ya kazi ya ushindi, maana ya ndani ya kazi ya ushindi.
kutoka katika "Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4)" katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza nyimbo: nyimbo za kuabudu

0 意見:

Chapisha Maoni