Jumatatu, 4 Machi 2019

Kile Ambacho Wanaopenda Ukweli Wanapaswa Kufuatilia

I
Hmm … Hmm …
Jinsi unavyofikiri kuhusu utawala wa Mungu na ukweli,
inaonyesha kama una moyo, roho, iwapo wewe ni mtu anayependa ukweli.
Inaamua ikiwa unaweza kuelewa mamlaka ya Mungu.
Ikiwa hujawahi kuhisi utawala wa Mungu, wala kukubali mamlaka Yake,
basi utakuwa bure kabisa, utakataliwa na Mungu.
Wale wanaoweza kukubali majaribu na uongozi wa Mungu, watii mamlaka Yake, na kupata uzoefu halisi wa neno na Mungu
watakuwa wamepata maarifa halisi ya mamlaka ya Mungu, ufahamu halisi wa ukuu Wake,
na watakuwa kweli wamekuwa chini ya Muumba.
Ni watu wa aina hii pekee ndio watakuwa kweli wameokolewa.
II
Wale wanaojua na kukubali utawala wa Mungu wamegundua na kujiwasilisha kwenye
ukweli kwamba Mungu anadhibiti hatima ya wanadamu wote.
Kifo kinapokuja, hawatakuwa na hofu.
Wao watawasilisha vitu vyote bila chaguo wala madai.
Wao ni wale ambao wanaweza kurudi upande wa Muumba kama wanadamu halisi.
Wale wanaoweza kukubali majaribu na uongozi wa Mungu, watii mamlaka Yake, na kupata uzoefu halisi wa neno na Mungu
watakuwa wamepata maarifa halisi ya mamlaka ya Mungu, ufahamu halisi wa ukuu Wake,
na watakuwa kweli wamekuwa chini ya Muumba.
Ni watu wa aina hii pekee ndio watakuwa kweli wameokolewa.
kutoka katika "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Masomo yanayohusiana: Ufuatiliaji Unaopaswa Kufuatwa na Waumini, Sikiliza zaidi Nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni