Alhamisi, 31 Januari 2019

Kiumbe Aliyeumbwa Anapaswa Kuwa Chini ya Mungu

I
Haijalishi nini Mungu anachouliza kutoka kwako, toa kikamilifu.
Onyesha uaminifu wako Kwake mpaka tu mwisho kabisa.
Ukimwona kwenye kiti cha enzi na tabasamu ya furaha
siku hiyo unaiacha dunia hii nyuma,
unaweza kucheka kwa furaha unapofunga macho yako.
Unaweza kumfanyia nini Mungu, eh kiumbe?
Jiweke chini Yake.
Mradi tu Mungu ana furaha na ameridhika, mwache Afanye kama Anavyopenda.
Mtu anawezaje kulalamika ndani?
II
Mradi tu uko hapa duniani, kwa uwezo wako wote,
fanyia mungu wajibu wako wa mwisho, mridhishe Yeye, eh~
Kama Petro, ambaye alimpenda Mungu mpaka kufa,
alisulubiwa kwa ajili Yake.
Kwa yote unayoyafanya, mridhishe Yeye.
Unaweza kumfanyia nini Mungu, eh kiumbe?
Jiweke chini Yake.
Mradi tu Mungu ana furaha na ameridhika, mwache Afanye kama Anavyopenda.
Mtu anawezaje kulalamika ndani? Eh~
Mwache Afanye kama Anavyopenda, jiweke chini Yake. Eh~
Unaweza kumfanyia nini Mungu, eh kiumbe?
Jiweke chini Yake.
Mradi tu Mungu ana furaha na ameridhika, mwache Afanye kama Anavyopenda.
Mtu anawezaje kulalamika ndani?
kutoka katika "Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Moja" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza nyimbo nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni