Jumatatu, 28 Januari 2019

Ni Kama Tu Mtu Anamjua Mungu Ndiyo Anaweza Kumcha Mungu na Kuepuka Uovu

I
Ili kuepuka uovu, lazima ujifunze kumcha Mungu.
Ili kufikia uchaji, lazima ujifunze kuhusu Mungu.
Kujifunza juu ya Mungu lazima utende maneno Yake,
kuonja hukumu Yake na nidhamu.
Uchaji wa Mungu na kuepuka uovu una mengi ya uhusiano,
uhusiano na maarifa ya Mungu.
Ni kama tu mtu anamjua Mungu ndiyo anaweza kumcha Mungu na kuepuka uovu.
II
Ili kuweka maneno ya Mungu katika matendo,
lazima uje uso kwa uso na Mungu na pia na maneno Yake.
Mwombe Mungu aandae mazingira yako, ili uweze kupitia maneno Yake.
Uchaji wa Mungu na kuepuka uovu una mengi ya uhusiano,
uhusiano na maarifa ya Mungu.
Ni kama tu mtu anamjua Mungu ndiyo anaweza kumcha Mungu na kuepuka uovu.
III
Ili kuwa uso kwa uso na neno la Mungu,
utahitaji moyo mwaminifu, ridhaa ya kukubali ukweli.
Inahitaji tamaa yako kuwa mwanadamu halisi, ridhaa yako kuteseka, kuepuka uovu.
Uchaji wa Mungu na kuepuka uovu una mengi ya uhusiano,
uhusiano na maarifa ya Mungu. Ni kama mtu anamjua Mungu tu ndiyo anaweza kumcha Mungu.
Uchaji wa Mungu na kuepuka uovu una mengi ya uhusiano,
uhusiano na maarifa ya Mungu.
Ni kama tu mtu anamjua Mungu ndiyo anaweza kumcha Mungu na kuepuka uovu.
IV
Nenda mbele, mkaribie Mungu, thamani ya nafsi yako itafanikiwa.
Moyo wako utakuwa safi zaidi; maisha yako yataangaza, yawe yenye maana na yenye kung’aa.
Uchaji wa Mungu na kuepuka uovu una mengi ya uhusiano,
uhusiano na maarifa ya Mungu. Ni kama tu mtu anamjua Mungu ndiyo anaweza kumcha Mungu na kuepuka uovu.
Uchaji wa Mungu na kuepuka uovu una mengi ya uhusiano,
uhusiano na maarifa ya Mungu.
Ni kama tu mtu anamjua Mungu ndiyo anaweza kumcha Mungu na kuepuka uovu.
kutoka katika "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza zaidi nyimbo za kuabudu

0 意見:

Chapisha Maoni