Ⅰ
Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.
Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki na ustaarabu wa binadamu.
Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.
Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.
Kukua kwa binadamu na kuendelea
hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu, mamlaka kuu ya Mungu.
Historia na siku za baadaye za binadamu
zinahusiana sana na mpango wa Mungu, mpango wa Mungu.
Ⅱ
Kama wewe ni Mkristo wa kweli,
basi hakika utaamini
kuwa kuinuka na kuanguka kwa nchi yoyote ama taifa
hufanyika kulingana na mpango wa Mungu, mpango wa Mungu.
Mungu pekee anajua hatima ya nchi ama taifa.
Mungu pekee anajua hatima ya nchi ama taifa.
Mungu pekee ndiye Anayejua njia ambayo binadamu huyu atafuata.
Kama binadamu ama nchi inataka kuwa na jaala nzuri,
mwanadamu lazima amwinamie Mungu kwa ibada, amwinamie Mungu kwa ibada.
Na mwanadamu lazima atubu na kukiri mbele ya Mungu,
La sivyo jaala na hatima ya mwanadamu bila kuepukika itaishia katika janga.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
0 意見:
Chapisha Maoni