Jumatano, 6 Februari 2019

Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,
I
Kufuatilia kuridhika kwa Mungu
ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu.
Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu,
ndani, moyo wako bado unampenda Mungu hata hivyo,
humtamani sana na kumkosa Mungu,
hiki ni kimo halisi.
Ni kwa kupitia shida na usafishaji tu
ndipo mtu anaweza kujua uzuri wa Mungu.
Baada ya kupitia mpaka sasa,
mtu anajua sehemu ya mapenzi ya Mungu.
Lakini bado haitoshi, kwa sababu mtu amepungukiwa sana.
Lazima awe na uzoefu zaidi wa kazi ya Mungu
na usafishaji wote wa mateso,
kisha tabia ya mtu inaweza kubadilishwa,
kisha tabia ya mtu inaweza kubadilishwa.
II
Ukubwa wa kimo chako unategemea upendo wako kwa Mungu,
kama unaweza kustahimili majaribio,
kama u dhaifu mazingira yanapokuja,
kama unapokataliwa unaweza kushikilia msimamo.
Kufika kwa ukweli kutaonyesha
vile upendo wako kwa Mungu ulivyo.
Ni kwa kupitia shida na usafishaji tu
ndipo mtu anaweza kujua uzuri wa Mungu.
Baada ya kupitia mpaka sasa,
mtu anajua sehemu ya mapenzi ya Mungu.
Lakini bado haitoshi, kwa sababu mtu amepungukiwa sana.
Lazima awe na uzoefu zaidi wa kazi ya Mungu
na usafishaji wote wa mateso,
kisha tabia ya mtu inaweza kubadilishwa,
kisha tabia ya mtu inaweza kubadilishwa.
III
Inaonekana kutoka kwa kazi nyingi ya Mungu
kwamba Mungu kweli anampenda mtu.
Lakini macho ya kiroho ya mtu hayajafunguka kabisa.
Mtu hawezi kuona mapenzi ya Mungu,
na kazi nyingi ya Mungu,
na vitu vingi kuhusu uzuri wa Mungu.
Mtu ana upendo kidogo wa kweli kwa Mungu.
Umemwamini Mungu wakati huu wote.
Ni hukumu kali na wokovu mkuu wa Mungu uliokuongoza kwenye njia sahihi.
Ni kwa kupitia shida na usafishaji tu
ndipo mtu anaweza kujua uzuri wa Mungu.
Baada ya kupitia mpaka sasa,
mtu anajua sehemu ya mapenzi ya Mungu.
Lakini bado haitoshi, kwa sababu mtu amepungukiwa sana.
Lazima awe na uzoefu zaidi wa kazi ya Mungu
na usafishaji wote wa mateso,
kisha tabia ya mtu inaweza kubadilishwa,
kisha tabia ya mtu inaweza kubadilishwa.
kutoka katika "Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kuhusu Sisi: Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza nyimbo nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni