Ijumaa, 8 Februari 2019

Ni Wale tu Ambao Wametakaswa Watakaoingia Katika Pumziko

I
Jamii ya wanadamu ya baadaye, ingawa imetoka kwa Adamu na Hawa,
haitaishi tena chini ya miliki ya Shetani,
lakini jamii ya waliookolewa, waliotakaswa.
Wao ni tofauti na ile jamii ya zamani, ile jamii ya kale ya Adamu na Hawa,
tofauti sana kiasi cha kukaribia kuwa jamii mpya kabisa.
Iliyochaguliwa kutoka kwa wale waliopotoshwa na Shetani,
wakisimama imara katika hukumu ya mwisho ya Mungu,
kundi hili la mwisho lililobaki,
pamoja na Mungu, linaweza kuingia katika pumziko la mwisho.
II
Ni wale tu wanaoweza kusimama imara
kupitia hukumu na kuadibiwa kwa siku za mwisho,
katika kazi ya mwisho ya utakaso,
wanaoweza kuingia katika pumziko la mwisho na Mungu.
Hawa ni wanadamu waliohukumiwa na kuadibiwa, wanadamu waliotakaswa.
Wao ni tofauti na ile jamii ya zamani, ile jamii ya kale ya Adamu na Hawa,
tofauti sana kiasi cha kukaribia kuwa jamii mpya kabisa.
Iliyochaguliwa kutoka kwa wale waliopotoshwa na Shetani,
wakisimama imara katika hukumu ya mwisho ya Mungu,
kundi hili la mwisho lililobaki,
pamoja na Mungu, linaweza kuingia katika pumziko la mwisho.
III
Wao ni tofauti na ile jamii ya zamani, ile jamii ya kale ya Adamu na Hawa,
tofauti sana kiasi cha kukaribia kuwa jamii mpya kabisa.
Ni kupitia kazi ya mwisho ya utakaso ambapo wanaoingia katika pumziko
watakuwa wametoroka kutoka kwa nguvu za Shetani na kupatwa na Mungu.
Wataingia katika pumziko la mwisho. Wataingia katika pumziko la mwisho.
kutoka katika "Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja" katika Neno Laonekana katika Mwili

 kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Sikiliza zaidi nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni