Alhamisi, 7 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa

Nyimbo za kuabudu | Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa

I
Wakati ambapo watu wote watakuwa wamefanywa kamili,
na mataifa yote ni ufalme wa Kristo, ngurumo saba zitasikika.
Leo ni hatua kuelekea hatua hiyo. Moto umetolewa.
Huu ni mpango wa Mungu. Hivi karibuni utafanikishwa.
II
Ili kukamilisha mpango wa Mungu, malaika wamekuja duniani,
wakifanya kila wawezalo kumridhisha Mungu.
Mungu katika mwili pia yuko kwenye uwanja wa vita, akipigana vita na adui.
Kile ambacho Mungu amesema ndicho ambacho Amefanya.
Kwa hiyo, mataifa ni makasri tu katika mchanga, yakitetemeka wimbi linapokaribia.
Siku ya mwisho imekaribia.
Joka kuu jekundu litaanguka chini ya neno la Mungu.
Kila kupata mwili kunapoonekana, adui huharibiwa.
Uharibifu wa China utakuwa wa kwanza.
Itaharibiwa na mkono wa Mungu.
Uthibitisho wa kuanguka kwa joka kuu jekundu
unaonekana katika kukomaa kwa watu.
Ni ishara ya kuanguka kwa adui.
Hii ndiyo maana ya kupigana vita, kupigana vita.
III
Wakati binadamu wote wanapokuja kumjua Mungu kutoka ndani ya mwili,
wanapoweza kuona matendo Yake kutoka ndani ya mwili,
basi pango la joka kuu litageuka kuwa majivu
na kupotea bila ya kujulikana liliko, milele.
Kile ambacho Mungu amesema ndicho ambacho Amefanya.
Kwa hiyo, mataifa ni makasri tu katika mchanga, yakitetemeka wimbi linapokaribia.
Siku ya mwisho imekaribia.
Joka kuu jekundu litaanguka chini ya neno la Mungu.
Kila kupata mwili kunapoonekana, adui huharibiwa.
Uharibifu wa China utakuwa wa kwanza.
Itaharibiwa na mkono wa Mungu.
Uthibitisho wa kuanguka kwa joka kuu jekundu
unaonekana katika kukomaa kwa watu.
Ni ishara ya kuanguka kwa adui.
Hii ndiyo maana ya kupigana vita, kupigana vita, ooo,
kupigana vita, lo, kupigana vita, lo, kupigana vita.
kutoka katika "Ufafanuzi wa Tamko la Kumi" "Tamko La Kumi" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

0 意見:

Chapisha Maoni