Ijumaa, 25 Januari 2019

Lazima Uweke Imani Katika Mungu Juu ya Vingine Vyote

I
Ikiwa unataka kuamini,
ikiwa unataka kumpata Mungu na kuridhika Kwake,
kama huvumilii maumivu na kuweka juhudi,
hutaweza kufanikisha mambo haya.
Umesikia mahubiri mengi.
Lakini hata kama umesikia,
haimaanishi kuwa maneno hayo ni yako.
Lazima uyachukue, uyabadilishe
kuwa kitu ambacho ni chako.
Utapata tu kutoka kwa imani ya Mungu,
ikiwa unalijua kama jambo kubwa zaidi katika maisha,
muhimu zaidi kuliko kile unachoweza kula au kunywa,
kile unachoweza kuvaa, au chochote kingine duniani.
II
Tumia maneno haya katika maisha yako, yalete katika kuwepo kwako,
yaruhusu yakuongoze katika njia unayoishi,
yakileta thamani halisi na maana kwa maisha yako,
basi itakuwa ya thamani kwa wewe kusikia maneno haya.
Ikiwa maneno ya Mungu hayaleti unafuu na thamani kwa maisha yako,
hakungekuwa na maana katika kusikiliza, ndiyo.
Eh, utapata tu kutoka kwa imani ya Mungu,
ikiwa unalijua kama jambo kubwa zaidi katika maisha,
muhimu zaidi kuliko kile unachoweza kula au kunywa,
kile unachoweza kuvaa, au chochote kingine duniani, ndiyo.
III
Ikiwa unaamini tu wakati una muda,
kutoweza kutoa mawazo yako yote kwa imani,
ikiwa daima unafanya kazi tu kufaulu unapochanganyikiwa,
hutapata kitu, ah, hakuna chochote.
Eh, utapata tu kutoka kwa imani ya Mungu,
ikiwa unalijua kama jambo kubwa zaidi katika maisha,
muhimu zaidi kuliko kile unachoweza kula au kunywa,
kile unachoweza kuvaa, au chochote kingine, ndiyo.
Eh, utapata tu kutoka kwa imani ya Mungu,
ikiwa unalijua kama jambo kubwa zaidi katika maisha,
muhimu zaidi kuliko kile unachoweza kula au kunywa,
kile unachoweza kuvaa, au chochote kingine,
kile unachoweza kuvaa, au chochote kingine,
kile unachoweza kuvaa, au chochote kingine,
chochote kingine.
kutoka katika "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza nyimbo nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni