- I
- Mwili wa Mungu utajumlisha
- kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
- Atakapofanywa mwili,
- Ataleta
- matunda ya kazi Aliyopewa
- ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
- awape uhai na awaonyeshe njia.
- Mwili wowote usiokuwa na dutu
- Yake sio Mwili wa Mungu.
- II
- Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli
- tazamia tabia,
- maneno na matendo Yake.
- Angazia dutu Yake
- wala si sura Yake ya nje.
- Ni upumbavu na ujinga kuangazia
- sura ya nje ya Mungu.
- Ya nje haiamui ile ya ndani,
- na kazi ya Mungu haiambatani
- na dhana za mwanadamu.
- III
- Je, si sura ya nje ya Yesu
- ilitofautiana na matarajio ya watu
- Je, si mfano Wake
- na mavazi Yake
- yalificha utambulisho Wake
- Si ndio sababu
- Mafarisayo walimpinga Yesu
- Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno
- Aliyoyasema.
- Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake,
- wasirudie historia.
- Usifuate Mafarisayo
- usulubishe Mungu msalabani tena.
- Tilia maanani
- utakavyokaribisha kurudi Kwake.
- Waza wazi utakavyotii ukweli.
- Ndio wajibu
- wa kila angojaye kurudi
- kwake Yesu.
-
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
0 意見:
Chapisha Maoni