Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?
Imeandikwa katika Biblia kwamba Bwana Yesu aliwalaani Mafarisayo kwa dhiki saba. Siku hizi, njia inayotembelewa na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini ni ile ya Mafarisayo na hali kadhalika wanapitia chuki ya Mungu na kukataliwa. Hivyo kwa nini Bwana Yesu aliwahukumu na kuwalaani Mafarisayo? Kimsingi ilikuwa kwa sababu walikuwa na kiini chenye unafiki ambacho kilimwasi Mungu, kwa sababu walitilia maanani kufanya matambiko ya dini na kufuata sheria tu, walieleza kanuni na mafundisho katika Biblia tu na hawakuweka maneno ya Mungu kwenye vitendo wala kufuata amri za Mungu kwa vyovyote, na hata waliacha amri za Mungu.
Kila kitu walichofanya kilienda kinyume kabisa na mapenzi na mahitaji ya Mungu. Hiki kilikuwa kiini chenye unafiki cha Mafarisayo na ilikuwa sababu ya msingi ya Bwana Yesu kuwachukia na kuwalaani.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
0 意見:
Chapisha Maoni