Jumapili, 3 Februari 2019

Jinsi ya Kuingia Katika Maombi ya Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi,

Jinsi ya Kuingia Katika Maombi ya Kweli

I
Wakati wa maombi moyo wako lazima uwe na amani
mbele ya Mungu, moyo wako lazima uwe wa kweli.
Wasiliana kweli unapoomba kwa Mungu.
Usimdanganye Mungu kwa maneno ya kupendeza sikio.
Kwa hiyo moyo wako utakuwa mtulivu mbele ya Mungu.
Na katika mazingira yaliyopangwa kwa ajili yenu,
basi utajijua mwenyewe na kujichukia mwenyewe.
Utajichukia mwenyewe na kujiacha mwenyewe.
Hivyo utakuwa na mahusiano ya kawaida na Mungu,
na kuwa mtu ambaye kweli anampenda, anampenda Mungu, anampenda, anampenda Mungu,
kuwa mtu ambaye kweli anampenda, anampenda Mungu.
II
Maombi yanazingatia ni kile Mungu atamaliza leo. Omba mwanga zaidi,
leta hali na matatizo yakombele ya Mungu na mwambie Yeye azimio lako.
Kwa hiyo moyo wako utakuwa mtulivu mbele ya Mungu.
Na katika mazingira yaliyopangwa kwa ajili yenu,
basi utajijua mwenyewe na kujichukia mwenyewe.
Utajichukia mwenyewe na kujiacha mwenyewe.
Hivyo utakuwa na mahusiano ya kawaida na Mungu,
na kuwa mtu ambaye kweli anampenda, anampenda Mungu, anampenda, anampenda Mungu,
kuwa mtu ambaye kweli anampenda, anampenda Mungu.
III
Sala si kufuata utaratibu bali kumtafuta Mungu kwa uaminifu wako.
Mwombe Mungu aulinde moyo wako. Mwombe Mungu aulinde moyo wako.
Kwa hiyo moyo wako utakuwa mtulivu mbele ya Mungu.
Na katika mazingira yaliyopangwa kwa ajili yenu,
basi utajijua mwenyewe na kujichukia mwenyewe.
Utajichukia mwenyewe na kujiacha mwenyewe.
Hivyo utakuwa na mahusiano ya kawaida na Mungu,
na kuwa mtu ambaye kweli anampenda, anampenda Mungu, anampenda, anampenda Mungu,
kuwa mtu ambaye kweli anampenda, anampenda Mungu.
kutoka katika "Kuhusu Desturi ya Sala" katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza zaidi nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni