Jumanne, 12 Februari 2019

Mungu Mwenye Mwili Katika Siku za Mwisho Anafanya Kazi Zaidi Kutumia Maneno

I
Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho
Anatamatisha Enzi ya Neema na Ananena maneno ambayo yanakamilisha na kutia nuru,
maneno ambayo yanamaliza dhana isiyo dhahiri kutoka kwa moyo wa mwanadamu.
Yesu alifanya kazi ambayo ilikuwa tofauti.
Yeye alitenda miujiza na kuponya wagonjwa,
kuhubiri injili ya ufalme wa mbinguni,
na alisulubiwa ili kuwakomboa watu wote.
Hivyo mwanadamu akapata dhana kuwa hivyo ndivyo Mungu atakuwa kila wakati.
Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho Anatimiza na kufichua yote kwa maneno.
Katika maneno Yake unaona kile Alicho; katika maneno unaona kwamba Yeye ni Mungu.
II
Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho
anaondoa dhana zisizo dhahiri kutoka kwa moyo wa mwanadamu.
Kupitia maneno na matendo Yake, kazi Yake ya kweli na kawaida kati ya watu wote,
mwanadamu anajua ukweli wa Mungu, sio kuamini katika Mungu asiye dhahiri.
Kupitia katika maneno ya Mungu katika mwili,
Anakamilisha mwanadamu na Anatimiza vitu vyote.
Hii ni kazi ambayo Mungu atafanikisha katika siku za mwisho kabisa.
Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho Anatimiza na kufichua yote kwa maneno.
Katika maneno Yake unaona kile Alicho; katika maneno unaona kwamba Yeye ni Mungu.
III
Mungu katika mwili Ananena maneno pekee, kwani hii ndiyo kazi Yake duniani.
Unaweza kuona yote Aliyo kupitia katika maneno Yake, mwenye uweza, mnyenyekevu, mkuu.

Katika maneno Yake unaona kile Alicho; katika maneno unaona kwamba Yeye ni ...
Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho Anatimiza na kufichua yote kwa maneno.
Katika maneno Yake unaona kile Alicho; katika maneno unaona kwamba Yeye ni Mungu.
kutoka katika "Kuijua Kazi ya Mungu Leo" na "Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

0 意見:

Chapisha Maoni