Jumatatu, 11 Februari 2019

Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho Ni kwa Ajili ya Kutamatisha Enzi

Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho Ni kwa Ajili ya Kutamatisha Enzi

I
Siku za mwisho ni tofauti sana na Enzi ya Neema na Enzi ya Sheria.
Kazi ya siku za mwisho haifanywi katika Israeli,
lakini inatekelezwa kati ya Mataifa.
Ni ushindi wa mataifa yote mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.
Na utukufu wa Mungu utajaza ulimwengu mzima.
Utatangazwa kwa Mataifa yote na katika vizazi vyote.
Kila kiumbe kitaona utukufu ambao Mungu amepata duniani.
II
Siku za mwisho ni wakati wa ushindi, sio uongozi wa maisha ya watu.
Lakini badala yake ni hitimisho la mateso ya mwanadamu yasiyoisha.
Siku za mwisho sio kama miaka mirefu wakati Mungu alipokuwa akifanya kazi Uyahudi na Israeli
kwa miaka elfu kadhaa hadi kupata Kwake mwili kwa mara ya pili, lakini badala yake ni fupi.
Watu wa siku za mwisho wanakutana na Mkombozi akirejea katika mwili,
na kupokea kufanya kazi kwa Mungu binafsi na maneno
katika siku hizo fupi za mwisho kabla tu ya mwisho.
Siku za mwisho, hatima ya mwisho ya wakati, ukamilisho wa mpango wa Mungu was miaka 6,000.
Siku za mwisho, mwisho wa safari ya mwanadamu, mwisho wa safari ya mwanadamu ya mateso.
Lakini sio wote wataingia katika enzi mpya. Maisha ya mwanadamu hayataendelea vile vile.
Kwani haina maana kwa mipango mikubwa ya Mungu.
Kwani mwanadamu angeendelea, wangeliwa na Shetani,
na roho ambazo ni za Mungu zitapotezwa mikononi mwake.
III
Siku za mwisho, wakati umeisha.
Mungu hataendelea zaidi; Hatakawia.
Siku za mwisho, kushindwa kwa Shetani.
Mungu atachukua utukufu Wake wote. Hatakawia.
Kazi ya Mungu inadumu kwa miaka elfu sita tu.
Udhibiti wa Shetani juu ya binadamu wote hautaendelea
zaidi ya milenia hizi sita.
Kila roho iliyo ya Mungu itaepuka bahari ya mateso,
na kazi yote ya Mungu katika ulimwengu mzima itaisha.
Mungu hatakuwa mwili tena kamwe duniani.
Roho Wake hatafanya kazi tena kamwe duniani.
Atamtengeneza tena binadamu, binadamu mtakatifu,
kuwa mji Wake mtakatifu duniani.
Siku za mwisho, hatima ya mwisho ya wakati, ukamilisho wa mpango wa Mungu was miaka 6,000.
Siku za mwisho, mwisho wa safari ya mwanadamu, mwisho wa safari ya mwanadamu ya mateso.
Lakini sio wote wataingia katika enzi mpya. Maisha ya mwanadamu hayataendelea vile vile.
Kwani haina maana kwa mipango mikubwa ya Mungu.
Kwani mwanadamu angeendelea, wangeliwa na Shetani,
na roho ambazo ni za Mungu zitapotezwa mikononi mwake.
Siku za mwisho, hatima ya mwisho ya wakati, ukamilisho wa mpango wa Mungu was miaka 6,000.
Siku za mwisho, mwisho wa safari ya mwanadamu, mwisho wa safari ya mwanadamu ya mateso.
Siku za mwisho. Siku za mwisho. Siku za mwisho.
kutoka katika "Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku ya Ghadhabu" katika Neno Laonekana katika Mwili

 kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Sikiliza zaidi nyimbo za kuabudu

0 意見:

Chapisha Maoni