Jumamosi, 2 Februari 2019

Nyimbo za injili | Utendaji wa Kuacha Mwili

Nyimbo za injili | Utendaji wa Kuacha Mwili
                                                    I
Kitu kikifanyika ambacho kinakuhitaji uvumilie mateso,
elewa na ujali kuhusu mapenzi ya Mungu katika wakati huo.
Usijiridhishe mwenyewe, jiweke kando mwenyewe.
Hakuna kitu duni kuliko mwili.
Lazima umtafute na umridhishe Mungu na utimize wajibu wako.
Kwa fikira kama hizi Mungu atakuletea
nuru maalum katika swala hili,
na moyo wako utapata faraja.
II
Kitu kinapotokea kwako,
kikubwa ama kidogo, jiweke upande mmoja,
uone mwili kama kitu hafifu kuliko vitu vyote.
Unapouridhisha mwili zaidi,
ndivyo unavyoitisha zaidi, ndivyo unavyochukua uhuru zaidi,
ndivyo unakuwa na hamu zaidi, ndivyo unapotea zaidi.
Mpaka hatua ambapo mwili utakuwa na
dhana za kina zaidi,
umwasi Mungu, ujisifu wenyewe, uishuku kazi ya Mungu.
Kitu kikifanyika ambacho kinakuhitaji uvumilie mateso,
elewa na ujali kuhusu mapenzi ya Mungu katika wakati huo.
Usijiridhishe mwenyewe, jiweke kando mwenyewe.
Hakuna kitu duni kuliko mwili.
Lazima umtafute na umridhishe Mungu na utimize wajibu wako.
Kwa fikira kama hizi Mungu atakuletea
nuru maalum katika swala hili,
na moyo wako utapata faraja.
III
Mwili wa mwanadamu ni kama nyoka, unaumiza maisha.
Na maisha yako yanaachwa
wakati hatimaye unapata njia yake binafsi.
Mwili ni wa Shetani.
Ni mchoyo na wenye tamaa kupita kiasi,
ukitaka faraja, raha, urahisi na uzembe.
Mwili unaporidhika mpaka kiwango fulani,
wewe hatimaye utaliwa nao.
Kitu kikifanyika ambacho kinakuhitaji uvumilie mateso,
elewa na ujali kuhusu mapenzi ya Mungu katika wakati huo.
Usijiridhishe mwenyewe, jiweke kando mwenyewe.
Hakuna kitu duni kuliko mwili.
Lazima umtafute na umridhishe Mungu na utimize wajibu wako.
Kwa fikira kama hizi Mungu atakuletea
nuru maalum katika swala hili,
na moyo wako utapata faraja.
kutoka katika "Kumpenda Mungu tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

0 意見:

Chapisha Maoni