Alhamisi, 10 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Njia ya Kutafuta Ukweli

I
Hali yako ina ushawishi katika jinsi unavyouelewa ukweli?
Wewe hushangaa katika mapambano ni ukweli upi ambao ni wa kweli?
Basi tafuta ukweli huu na utaona mapenzi ya Mungu katika yote ufanyayo.
Katika yote unayokabiliana nayo, jua ni sehemu gani za ukweli
zinahusiana na kilicho mbele yako.
Ukifuatilia mapenzi ya Mungu bila kujua ukweli,
ni bure na pofu, hakutakwelekeza kwa chochote.
Hali yako ina ushawishi katika jinsi unavyouelewa ukweli?
Wewe hushangaa katika mapambano ni ukweli upi ambao ni wa kweli?
Basi tafuta ukweli huu na utaona mapenzi ya Mungu katika yote ufanyayo.
II
Katika mapambano yako yote, tafuta sehemu za ukweli
katika neno la Mungu zinazofanana na hili.
Kisha angalia njia iliyo sahihi kwako.
Litakusaidia kukujua mapenzi ya Mungu katika kila kitu.
Hali yako ina ushawishi katika jinsi unavyouelewa ukweli?
Wewe hushangaa katika mapambano ni ukweli upi ambao ni wa kweli?
Basi tafuta ukweli huu na utaona mapenzi ya Mungu katika yote ufanyayo.
III
Kutafuta na kutenda ukweli
sio sawa na kushikilia fomyula au mafundisho.
Ukweli sio mlinganyo au sheria. Ni maisha na yako hai!
Ni kanuni ambayo mwanadamu anapaswa kufuata, kitu unachohitaji katika maisha yako.
Kwa hiyo, fuata wazo hili kupitia uzoefu wako wote.
Hali yako ina ushawishi katika jinsi unavyouelewa ukweli?
Wewe hushangaa katika mapambano ni ukweli upi ambao ni wa kweli?
Hali yako ina ushawishi katika jinsi unavyouelewa ukweli?
Wewe hushangaa katika mapambano ni ukweli upi ambao ni wa kweli?
Basi tafuta ukweli huu na utaona mapenzi ya Mungu katika yote ufanyayo.
kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kuhusu Sisi: Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 意見:

Chapisha Maoni