Alhamisi, 24 Januari 2019

Mpe Mungu Moyo Wako ili Upate Kibali Chake

I
Ili kumpenda na kumwamini Mungu,
mwanadamu anapaswa kugusa Roho wa Mungu kwa moyo, kwa moyo,
ili apate kuridhika kwa Mungu.
Mwanadamu anapaswa kushiriki neno la Mungu kwa moyo,
ili aguswe, aguswe na Roho wa Mungu.
Kama watu hawatatoa moyo wao
kwa Mungu katika imani yao Kwake, Kwake,
kama hawatakubali mzigo Wake,
wanamdanganya Mungu, wanatenda dini katika kila wanalofanya.
Haitapokea sifa ya Mungu.
Unapotoa moyo wako wote kwa Mungu,
unaweza kuwa na kuingia kwa kina,
uwe katika nafasi za juu za utambuzi,
na utakuwa na ufahamu zaidi
wa unyonge wako na dosari zako,
ukiwa na hamu ya kuridhisha mapenzi ya Mungu,
mwenye bidii, sio mzembe, katika kuingia.
Hii inaonyesha kwamba wewe ni mtu sawa.
II
Ukimwaga moyo wako kwa Mungu,
na uweze kuwa kimya mbele Yake, mbele Yake,
utatumiwa na Roho Mtakatifu,
utapokea mwangaza.
Roho Mtakatifu atajaza kile unachokosa.
Unapompa Mungu moyo wako,
utashika kila kinachosonga kichinichini katika roho, katika roho,
na kila nuru kutoka kwa Mungu.
Shikilia hili, utaingia
katika njia sahihi ya kukamilishwa na Mungu.
III
Wakati hampi Mungu moyo wake,
moyo wa mwanadamu unakuwa butu na uliokufa ganzi.
Mtu kama huyu hatakuwa na
ufahamu sahihi wa maneno ya Mungu,
ama uhusiano unaofaa na Mungu,
na tabia yake haitabadilika.
Kubadilisha tabia ya mtu ni kumpa
Mungu moyo wake wote,
Na kupokea nuru
Kutoka kwa maneno yote ambayo Mungu amenena.
Unapotoa moyo wako wote kwa Mungu,
unaweza kuwa na kuingia kwa kina,
uwe katika nafasi za juu za utambuzi,
na utakuwa na ufahamu zaidi
wa unyonge wako na dosari zako,
ukiwa na hamu ya kuridhisha mapenzi ya Mungu,
mwenye bidii, sio mzembe, katika kuingia.
Hii inaonyesha kwamba wewe ni mtu sawa.
kutoka katika "Ni muhimu sana Kuanzisha Uhusiano wa Kawaida na Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza zaidi Nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni