Jumanne, 8 Januari 2019

Mungu Huamua Mwisho wa Wanadamu Kutegemeza kwaKama Wanamiliki Ukweli

I
Ni wakati wa Mungu kuamua mwisho wa kila mtu,
si hatua ambapo Alianza kumfinyanga mwanadamu.
Mungu huandika katika kitabu Chake
kila neno na tendo la kila mtu.
Huviandika kimoja kimoja.
Mungu huamua hatima ya kila mtu
sio kutegemeza kwa kwa umri, cheo au mateso,
wala kiwango ambacho wao huvuta huruma,
lakini kulingana tu na kama wanao ukweli.
II
Yeye huziona njia zao katika kumfuata,
sifa zao za asili na matendo bora ya mwisho.
Kwa njia hii hakuna mtu atakayeepuka mkono wa Mungu.
Wote watakuwa na aina yao Atakavyogawa.
Mungu huamua hatima ya kila mtu
sio kutegemeza kwa kwa umri, cheo au mateso,
wala kiwango ambacho wao huvuta huruma,
lakini kulingana tu na kama wanao ukweli.
III
Wale ambao hawayafuati mapenzi ya Mungu, wataadhibiwa.
Huu ni ukweli ambao hakuna anayeweza kuubadili.
Kwa hiyo, wote wanaoadhibiwa
huadhibiwa kwa haki ya Mungu,
kama malipo kwa vitendo vingi uovu.
Mungu huamua hatima ya kila mtu
sio kutegemeza kwa kwa umri, cheo au mateso,
wala kiwango ambacho wao huvuta huruma,
lakini kulingana tu na
kama wanao ukweli, oho, kama wanao ukweli.
kutoka kwa "Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni