Jumatano, 30 Januari 2019

Mabadiliko Katika Tabia Yanahitaji Kazi ya Roho Mtakatifu

I
Kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo
vinaamua kama unatafuta kwa kweli,
sio hukumu ya wengine, wala maoni yao.
Lakini zaidi ya hili, kile kinachoamua uaminifu wako ni,
baada ya muda, kama kazi ya Roho Mtakatifu
inakubadilisha na kukufanya umjue Mungu.
Kwa kazi ya Roho Mtakatifu, tabia yako itabadilika,
mtazamo wako kwa imani utakuwa safi.
Mabadiliko yanamaanisha Roho Mtakatifu yuko kazini,
bila kujali umemfuata Yeye kwa muda mrefu vipi.
II
Kama hakuna mabadiliko ndani yako, basi inaonyesha
Roho Mtakatifu hafanyi kazi ndani yako.
Hata kama utafanya kazi, unaifanya ili kupata baraka.
Kufanya kazi mara mojamoja
hakumaanishi mabadiliko katika tabia.
Wale wanaotoa huduma wataangamizwa
kwani ufalme hauwahitaji.
Ufalme hauwahitaji wasiobadilika
kuwahudumia waaminifu na waliokamilishwa.
Kwa kazi ya Roho Mtakatifu, tabia yako itabadilika,
mtazamo wako kwa imani utakuwa safi.
Mabadiliko yanamaanisha Roho Mtakatifu yuko kazini,
bila kujali umemfuata Yeye kwa muda mrefu vipi, kwa muda mrefu vipi.
kutoka katika "Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza zaidi nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni