- Maisha yetu sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- I
- Leo tunakutana na Mungu,
- tunapitia kazi Yake.
- Tumemjua Mungu katika mwili,
- wa utendaji na wa hakika.
- Tumeiona kazi Yake,
- nzuri na ya ajabu.
- Kila siku ya maisha yetu sio bure.
- Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!
- Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.
- Nyayo zetu ziko katika
- njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.
- Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.
- Mungu, tutakupenda
- Wewe milele bila majuto.
- Tumepata ukweli,
- uzima wa milele tutapata.
- Maisha yetu sio bure, sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- II
- Maisha ya kumpenda Mungu,
- yenye maana, sio matupu.
- Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake.
- Tunapata sifa ya Mungu,
- tunapokea wokovu Wake.
- Hatuishi bure;
- maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa.
- Mungu, tutakupenda Wewe
- milele bila majuto.
- Tumepata ukweli,
- uzima wa milele tutapata.
- Maisha yetu sio bure, sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- Ni nani angewez kuwa
- amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa?
- Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu
- kwa utajiri na wingi mno?
- Kwa kuwa Mungu ametupa sisi
- mengi zaidi kuliko chochote
- kile Alichotoa katika enzi zilizopita.
- Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu,
- Aliyetuinua mimi na wewe.
- Tunapaswa kurudisha upendo wote
- uliomwagwa kwetu.
- Mungu, tutakupenda Wewe
- milele bila majuto.
- Tumepata ukweli,
- uzima wa milele tutapata.
- Maisha yetu sio bure, sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- Maisha yetu sio bure.
- kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya
- Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu Nyimbo.
Jumamosi, 18 Agosti 2018
Home »
Kristo
,
Mwenyezi-Mungu
,
Nyimbo
,
Nyimbo-za-Uzoefu-wa-Maisha
,
Wokovu
» Wimbo | Maisha Yetu Sio Bure
0 意見:
Chapisha Maoni