Ijumaa, 17 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo,


  • I


  • Mungu alikuja duniani hasa kutimiza 
  • ukweli wa “Neno kuwa mwili.” 
  • (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa, 
  • Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni). 
  • Kisha, yote yatatimizwa
  • katika enzi ya Ufalme wa Milenia


  • kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona, 
  • ili watu waweze kuona 
  • utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe. 
  • Hii ni maana ya kina ya Mungu kuwa mwili. 
  • Yaani, kazi ya Roho imekamilika 
  • kupitia kwa mwili na neno, 
  • Hii ni maana ya kweli ya “Neno kuwa mwili, 
  • Neno kuonekana katika mwili.”
  • II


  • Ni Mungu tu Anayeweza kuzungumza 
  • mawazo ya Roho, 
  • na ni Mungu tu katika mwili 
  • anayeweza kuzungumza kwa niaba ya Roho. 
  • Neno la Mungu linaonekana
  • katika Mungu aliyepata mwili.


  • Mtu yeyote yule ataongozwa na hili, 
  • hakuna anayeweza kuzidi hili 
  • na kila mtu anaishi ndani ya mipaka hii. 
  • Kutokana na tamko hili watu watapata ufahamu; 
  • isipokuwa kupitia haya matamshi 
  • hakuna atakayeota kuhusu kupokea 
  • tamko kutoka mbinguni. 
  • Haya ni mamlaka ambayo yameonyeshwa 
  • na Mungu kuwa mwili, 
  • ili kila mtu ashawishike. 

  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

  • Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu Nyimbo za Maneno ya Mungu, Neno la Mwenyezi Mungu.

0 意見:

Chapisha Maoni