Jumatatu, 26 Februari 2018

“Utamu katika Shida” (IV): Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Huwalazimisha Wakristo Kujiunga na Kanisa la Utatu Binafsi?


Nchini China, makanisa ya nyumbani yameteseka moja kwa moja matokeo ya ukandamizaji na utesaji wenye wayowayo wa serikali kanamungu ya Kikomunisti ya China. Wanawalazimisha kuingia katika Kanisa la Utatu Binafsi ambalo linadhibitiwa na Idara ya Kazi ya Muungano. Chama cha Kikomunisti cha China kinaficha siri gani kwa kufanya hili? Wakristo wanakabili hatari ya kufungwa jela na hata kupoteza maisha yao ili kueneza injili na kuwa na ushuhuda kwa Mungu. Ni kwa nini hasa wanafanya hili?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,  Mateso ya Kidini,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

0 意見:

Chapisha Maoni