"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 2 Mamlaka ya Neno la Mungu | Kwaya za Injili
Mwenyezi Mungu anasema, “Maneno Yangu ni ukweli, uhai, njia, na upanga mkali ukatao kuwili, ambao unaweza kumshinda Shetani” (Neno Laonekana katika Mwili). Maneno ya Mungu ni kama upanga wenye makali pande mbili, yanayoweza kushinda nguvu zote za uovu.
Je, umepitia nguvu na mamlaka ya kutisha ya maneno ya Mungu?
Unaweza Pia Kupenda : Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
0 意見:
Chapisha Maoni