Alhamisi, 7 Februari 2019

Nyimbo za kuabudu | Mungu Amepata Utukufu Miongoni mwa Viumbe Vyote

Nyimbo za kuabudu | Mungu Amepata Utukufu Miongoni mwa Viumbe Vyote

I
Kutoka wakati wa uumbaji hata leo,
Mungu amepigana vita vingi vya ushindi,
na Amefanya mambo mengi ya kupendeza.
Watu wengi wakati mmoja walimtukuza,
na kutoa sifa Kwake, na walimchezea.
Ingawa haya yalikuwa matukio ya kusisimua, na yasiyosahaulika,
Mungu kamwe hakuonyesha tabasamu Yake, kwa kuwa hakuwa amemshinda mtu bado,
na alikuwa tu Akifanya sehemu ya kazi sawa na uumbaji.
Leo si kama hapo awali. Mungu hutabasamu kutoka kwa kiti Chake cha enzi.
Watu, Aliowashinda, humsujudia na kumwabudu.
Watu wa leo sio wale wa awali.
Kazi ya Mungu si ni ya sasa na utukufu Wake?
Kwa kesho ng'avu zaidi,
Mungu atafanya dhahiri kazi Yake kwa mwanadamu mara nyingi sana,
ili utukufu Wake wote uweze "kupumzika" ndani ya mwanadamu, aliyeumbwa.
II
Mungu hufanya hili kama sharti, kanuni ya kazi Yake.
Wote mnaotaka kushirikiana, inukeni, mfanyieni kazi kwa bidii,
ili utukufu zaidi wa Mungu uweze kujaza mbingu.
Sasa ndio wakati wa kutekeleza mipango mikubwa.
Katika mahali pa Mungu, wote walio chini ya uangalizi Wake wanapendwa na kulindwa,
na kushiriki katika kila nafasi ya kutumiwa na Mungu kupitia vipaji vyao.
Yeye huendesha vitu vyote ili kuitumikia kazi Yake.
III
Ndege wanaoruka angani ni utukufu wa Mungu juu,
kama bahari na maziwa vilivyo matendo Yake duniani.
Kama bwana wa vitu vyote, mtu huonyesha utukufu wa Mungu.
Mungu husimamia vyote kuongezeka na kuwa na uhai.
Kwa kesho ng'avu zaidi,
Mungu atafanya dhahiri kazi Yake kwa mwanadamu mara nyingi sana,
ili utukufu Wake wote uweze "kupumzika" ndani ya mwanadamu, aliyeumbwa.
Katika vyote alivyoviumba Mungu, utukufu Wake hubaki juu yavyo.
kutoka katika "Tamko la Arubaini na Mbili" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

0 意見:

Chapisha Maoni