Wajibu wa mwanadamu hauhusu hata kidogo yeye kubarikiwa au kulaaniwa.
Wajibu wake ni kile anachopaswa kutimiza bila malipo au masharti.
"Kulaaniwa" kunamaanisha yeye ambaye anashindwa kubadilisha tabia yake
atapitia adhabu.
Mtu anapaswa kutimiza wajibu wake. Anapaswa kufanya kile anachoweza,
awe amebarikiwa, awe amelaaniwa.
Hii inamfanya awe mfuasi, hii inamfanya awe mfuasi wa Mungu.
Hii inamfanya awe mfuasi wa Mungu.
II
Hupaswi kutenda wajibu wako kwa ajili ya baraka, wala kukataa kwa hofu ya laana.
Wajibu unapaswa kutimizwa. Kushindwa kwako kunamaanisha kuwa wewe ni mwasi.
"Kubarikiwa" kunamaanisha kufurahia wema baada ya mwanadamu kuhukumiwa na kufanywa mkamilifu.
"Kulaaniwa" kunamaanisha yeye ambaye anashindwa kubadilisha tabia yake
atapitia adhabu.
Mtu anapaswa kutimiza wajibu wake. Anapaswa kufanya kile anachoweza,
awe amebarikiwa, awe amelaaniwa.
Hii inamfanya awe mfuasi, hii inamfanya awe mfuasi wa Mungu.
Hii inamfanya awe mfuasi wa Mungu.
kutoka katika "Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu" katika Neno Laonekana katika Mwili
Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Sikiliza zaidi Nyimbo za dini
0 意見:
Chapisha Maoni