Jumatatu, 25 Machi 2019

Wimbo wa kuabudu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu


  • Wimbo wa kuabudu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu
    • I
    • Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
    • Kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
    • ni wajibu wetu, ni jukumu letu
    • kutoa akili zetu na miili yetu
    • kwa kutimiza agizo la Mungu.
    • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
    • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
    • Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,
    • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
    • II
    • Ikiwa akili na miili yetu haiko kwa ajili ya
    • agizo la Mungu au njia ya mwanadamu ya haki,
    • roho zetu hazitastahili waliokufa kishahidi
    • kwa ajili ya agizo la Mungu,
    • zaidi haistahili kwa Mungu anayetupa kila kitu.
    • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
    • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
    • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
    • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
    •  
    • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
    • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
    • Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,
    • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
    •  
    • kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

    • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

    • Sikiliza zaidi: Wimbo wa Maneno ya Mungu | Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu


0 意見:

Chapisha Maoni