Jumanne, 26 Februari 2019

Nyimbo za injili | Umuhimu wa Maneno ya Mungu

Nyimbo za injili | Umuhimu wa Maneno ya Mungu

I
Waumini wa Mungu ni lazima angalau watende vizuri.
Kilicho cha muhimu zaidi ni kuwa na neno la Mungu.
Bila kujali ni nini, kutoka kwa neno la Mungu usigeuke.
Kumjua na kumpendeza Mungu ni kupitia neno Lake.
Madhehebu, mataifa, na vikundi vyote
katika siku zijazo vitashindwa kupitia neno.
Kwa watu Mungu atanena moja kwa moja,
na mikononi mwao, watashika neno Lake.
Kupitia kwa hili, watu watakamilishwa,
na neno la Mungu huenea kote kabisa.
Watu hutenda na kusema kuhusu neno la Mungu,
huku neno la Mungu likiwa limewekwa ndani yao.
Wale wote wanaotumiwa na Mungu wanaweza kusema neno Lake.
Kama huwezi, basi hili linaonyesha
kuwa Roho Mtakatifu hajafanya kazi ndani yako,
ukamilifu hujapata.
Hii ndiyo thamani ya neno la Mungu,
thamani ya neno la Mungu.
II
Watu ambao wamejazwa ushawishi wa neno la Mungu
kote ndani na nje wamekamilishwa.
Wale wanaoshuhudia na kutimiza mapenzi ya Mungu,
wana na neno la Mungu kama uhalisi wao.
Kuingia katika Enzi ya Neno,
inayojulikana kama Enzi ya Ufalme wa Milenia,
ndiyo kazi inayokamilishwa sasa.
Zoea kushiriki kile ambacho Mungu husema.
Kupitia kula, kupitia neno Lake,
unaweza kuonyesha neno la Mungu.
Bila maneno ya uzoefu,
bila maneno ya Mungu, hungeweza kumshawishi yeyote.
Wale wote wanaotumiwa na Mungu wanaweza kusema neno Lake.
Kama huwezi, basi hili linaonyesha
kuwa Roho Mtakatifu hajafanya kazi ndani yako,
ukamilifu hujapata.
Hii ndiyo thamani ya neno la Mungu,
thamani ya neno la Mungu.
kutoka katika "Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno" katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni