Jumatano, 27 Februari 2019

Jinsi ya Kuanzisha Uhusiano wa Kawaida na Mungu

I
Uhusiano wa kawaida na Mungu unaanza na kuutuliza moyo wako.
Hata kama huelewi, timiza wajibu wako Kwake.
Hujachelewa sana kungoja mapenzi ya Mungu kufichuliwa na kuwekwa katika matendo.
Wakati uhusiano wako na Mungu uko sawa, ndivyo utakavyo kuwa na wale walio karibu na wewe.
Uhusiano wa kawaida na Mungu hauna shaka, hauna kuasi kazi ya Mungu.
Njoo mbele ya kiti cha enzi na nia sahihi, jiweke kando.
Kubali kuchunguza kwa Mungu, mtii Mungu, weka mahitaji ya familia Yake kwanza.
Ukitenda kwa njia hii, uhusiano wako na Mungu utakuwa wa kawaida.
Oo, kawaida. Oo, kawaida.
II
Kula na unywe neno la Mungu, jiwe ambalo kila kitu kinajengwa juu yake.
Tenda kulingana na kile ambacho Mungu anataka, usikatae wala usisumbue.
Usitende ama kusema vitu ambavyo haviwasaidii ndugu zako.
Usilete aibu, kuwa wa haki na mwaminifu, fanya vitu vyote vimfae Mungu.
Uhusiano wa kawaida na Mungu hauna shaka, hauna kuasi kazi ya Mungu.
Njoo mbele ya kiti cha enzi na nia sahihi, jiweke kando.
Kubali kuchunguza kwa Mungu, mtii Mungu, weka mahitaji ya familia Yake kwanza.
Ukitenda kwa njia hii, uhusiano wako na Mungu utakuwa wa kawaida.
Oo, kawaida. Oo, kawaida.
III
Ingawa mwili ni mnyonge, unaweza kuitumikia familia ya Mungu
kama kitu cha maana zaidi, ukipuuza hasara yoyote.
Usijitamanie mwenyewe lakini utekeleza kwa haki.
Usijitamanie mwenyewe lakini utekeleza kwa haki.
(Kawaida. Kawaida. Kawaida. Kawaida.)
Uhusiano wa kawaida na Mungu hauna shaka, hauna kuasi kazi ya Mungu.
Njoo mbele ya kiti cha enzi na nia sahihi, jiweke kando.
Kubali kuchunguza kwa Mungu, mtii Mungu, weka mahitaji ya familia Yake kwanza.
Ukitenda kwa njia hii, uhusiano wako na Mungu utakuwa wa kawaida.
Ndio, kawaida. Oo, kawaida. Ndio, kawaida. Oo, kawaida.
kutoka katika "Uhusiano Wako Na Mungu Ukoje" katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni