Alhamisi, 3 Januari 2019

231. Matokeo ya Kukwepa Hukumu

I
Unaelewa hukumu na ukweli ni nini?
Kama ndivyo, basi Mungu anakusihi kuitii hukumu.
Vinginevyo utapoteza nafasi ya kupongezwa na Mungu,
au kuletwa na Yeye katika ufalme Wake.
Mungu hawezi kumsamehe msaliti ambaye
alidai uaminifu Kwake lakini kisha alisaliti.
Wale walio hivi wataadhibiwa
katika roho zao, nafsi na mwili.
Si huu ni ufunuo wa haki ya Mungu,
kusudi la Mungu la kumhukumu na kumfichua mtu?
II
Wale ambao hukubali tu hukumu
lakini hawawezi kutakaswa kamwe,
wale wanaokimbia wakati wa kazi ya hukumu
milele wamekataliwa na Mungu.
Dhambi zao ni nyingi na mbaya zaidi kuliko za Mafarisayo.
Kwa maana wamemdharau Mungu na ni waasi dhidi Yake.
Watu kama hao ambao hawastahili hata kuhudumu,
watapata adhabu mbaya zaidi milele.
Mungu hawezi kumsamehe msaliti ambaye
alidai uaminifu Kwake lakini kisha alisaliti.
Wale walio hivi wataadhibiwa
katika roho zao, nafsi na mwili.
Si huu ni ufunuo wa haki ya Mungu,
kusudi la Mungu la kumhukumu na kumfichua mtu?
kutoka kwa "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni