Jumamosi, 19 Januari 2019

Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli ,
I
Walio tayari kukubali kuangaliwa na Mungu
ni wale wanaofuatilia maarifa ya Mungu.
Wao wako tayari kukubali maneno ya Mungu.
Watapata urithi na baraka za Mungu.
Hawa ndio ambao wamebarikiwa zaidi.
Mungu huwalaani wale ambao hawana nafasi kwa ajili Yake.
Anawaadibu na kuwaacha.
Kama unathamini kazi yote ya Mungu,
unathamini nuru Yake,
ikiwa unathamini uwepo wa Mungu,
na kuthamini ulinzi Wake,
ikiwa unathamini maneno yote ya Mungu
kama ukweli wako mwenyewe na kama ruzuku ya maisha yako,
basi wewe ndiwe unaupendeza moyo wa Mungu zaidi.
Ikiwa unathamini kazi yote ya Mungu kwako,
Yeye atakubariki, kilicho chako kitaongezeka.
II
Mungu hufanya kazi ndani ya wale wanaofuatilia maneno Yake,
na Anafanya kazi ndani ya wale wanaoyathamini.
Kadiri unavyoyathamini zaidi, ndivyo Anavyofanya kazi zaidi.
Kadiri mtu anavyolithamini neno la Mungu zaidi,
ndivyo nafasi yake ya ukamilifu ilivyo kubwa.
Mungu huwakamilisha wale wanaompenda kweli,
wale ambao mioyo yao ina amani mbele Yake.
Kama unathamini kazi yote ya Mungu,
unathamini nuru Yake,
ikiwa unathamini uwepo wa Mungu,
na kuthamini ulinzi Wake,
ikiwa unathamini maneno yote ya Mungu
kama ukweli wako mwenyewe na kama ruzuku ya maisha yako,
basi wewe ndiwe unaupendeza moyo wa Mungu zaidi.
Ikiwa unathamini kazi yote ya Mungu kwako,
Yeye atakubariki, kilicho chako kitaongezeka.
III
Jitahidi kuyafanya maneno ya Mungu ukweli wako,
mridhishe, upendeze moyo Wake.
Usijitahidi tu kufurahia neema Yake.
Pokea kazi ya Mungu na upate ukamilifu,
kuwa mtu anayetekeleza mapenzi Yake.
Hakuna kilicho muhimu zaidi kuliko hili.
Kama unathamini kazi yote ya Mungu,
unathamini nuru Yake,
ikiwa unathamini uwepo wa Mungu,
na kuthamini ulinzi Wake,
ikiwa unathamini maneno yote ya Mungu
kama ukweli wako mwenyewe na kama ruzuku ya maisha yako,
basi wewe ndiwe unaupendeza moyo wa Mungu zaidi.
Ikiwa unathamini kazi yote ya Mungu kwako,
Yeye atakubariki, kilicho chako kitaongezeka.
kutoka katika "Mungu Anakamilisha Wale Wanaoufuata Moyo Wake" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Sikiliza nyimbo nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni