Jumatatu, 15 Januari 2018

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo | Musical Drama

Musical Drama, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

Mungu anasema: “Je, hukutamani sana kumwona Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewa. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na mwongozo wako katika enzi mpya”(Neno Laonekana katika Mwili).
Musical Drama, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Jinsi Bwana Anavyowasili
Katika mwili wa kiroho, au katika mwili wa kawaida? "Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo atakapokuja Mwana wa Adamu"(Luka 12:40). “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa” (Mathayo 24: 27). “Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwa mwili wa kiroho ila kwa ule wa kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia.”(Neno Laonekana katika Mwili). 
Musical Drama, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Roho wa Ukweli Amekuja!
"Bado ningali nayo mengi ya kuwaambia, lakini hivi sasa hamwezi kuyastahimili. Hata hivyo, yeye, Roho wa kweli, atakapokuja, atawaongoza hadi kwa ukweli wote" (Yohana 16:12-13) “Mwili huu usio na umuhimu ni mfano halisi wa maneno yote ya kweli kutoka kwa Mungu,ambao hufanya kazi ya Mungu siku za mwisho, na maonyesho ya tabia nzima ya Mungu kwa mwanadamu kuja kujua”(Neno Laonekana katika Mwili).
Musical Drama, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Enzi Mpya Yaingia!
"Tazama, maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu, naye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake, naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao" (Ufunuo 21:2-4).“Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwa mwili wa kiroho ila kwa ule wa kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na mwongozo wako katika enzi mpya”(Neno Laonekana katika Mwili).Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!
Tazama Video:

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

0 意見:

Chapisha Maoni