
Inaonyesha machapisho ya hoja yaliyopangwa kwa uhusiano Mungu. Panga kwa tarehe Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho ya hoja yaliyopangwa kwa uhusiano Mungu. Panga kwa tarehe Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 28 Desemba 2017
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Mwenyezi Mungu alisema, Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu....
Jumamosi, 18 Novemba 2017
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake
Mwenyezi Mungu alisema, Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu
Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti...
Alhamisi, 22 Februari 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Mwenyezi Mungu alisema, Leo tunawasiliana kuhusu mada muhimu. Hii ni mada ambayo imezungumziwa tangu kuanza kwa kazi ya Mungu mpaka sasa, na inayo umuhimu mkuu kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, hili ni suala ambalo kila...
Alhamisi, 25 Januari 2018
Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu

Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Leo, tutawasiliana hasa jinsi watu wanavyostahili kumhudumia Mungu katika imani yao Mungu, masharti yanayopaswa kutimizwa na kinachopaswa kufahamika na watu wanaomhudumia Mungu, na mikengeuko...
Jumamosi, 2 Desemba 2017
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Desemba 02, 2017imani-katika-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukombozi, utukufu, VitabuNo comments


Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Mwenyezi Mungu alisema,
Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali...
Alhamisi, 27 Desemba 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II
Desemba 27, 2018imani-katika-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments


Kwenye mkutano wetu wa mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, mnakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyew...
Jumamosi, 10 Machi 2018
Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Ni sheria ya Mbinguni na kanuni za duniani kumwamini Mungu na kumjua Mungu, na leo—wakati wa enzi ambapo Mungu mwenye mwili Anafanya kazi Yake mwenyewe—ndio wakati mwafaka...
Ijumaa, 19 Januari 2018
Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
Januari 19, 2018Kazi-ya-Mungu, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu. Maisha ya mwanadamu...
Jumapili, 19 Novemba 2017
Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu
Mwenyezi Mungu alisema, Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo...
Jumatatu, 26 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Kwanza)

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
Mamlaka ya Mungu (I)
Sehemu ya Kwanza
Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata...
Jumatatu, 9 Julai 2018
Uhusiano Wako Na Mungu Ukoje
Julai 09, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Uhusiano Wako Na Mungu Ukoje
Katika kuwa na imani kwa Mungu, ni lazima angalau utatue swala la kuwa na uhusiano wa kawaida na Mungu. Bila uhusiano wa kawaida na Mungu, basi umuhimu wa kumwamini Mungu unapotea. Kuunda uhusiano wa kawaida na Mungu kunapatikana kikamilifu...
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu

Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Ili uwe na ushuhuda kwa Mungu na kuliaibisha joka jekundu ni sharti uwe na kanuni, na sharti: Katika moyo wako ni lazima umpende Mungu na uingie katika maneno ya Mungu. Kama...
Jumatatu, 5 Machi 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I (Sehemu ya Nne)

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Sehemu ya Nne
3. Mungu Atumia upinde wa mvua kuasisi agano na mwanadamu.
(Mwa 9:11-13) Na Nitalithibitisha agano langu nanyi, wala kila chenye mwili hakitafutwa tena kwa maji ya gharika; wala hakutakuwa tena gharika...
Jumanne, 28 Novemba 2017
Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya
Novemba 28, 2017Bwana-Yesu, Matamshi-ya-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho-Chaguzi, neno la Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti ya Mungu, VitabuNo comments


Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya
Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnasubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta...
Ijumaa, 9 Februari 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dibaji

Dibaji
Mwenyezi Mungu alisema, Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu”...
Jumatatu, 28 Mei 2018
Sura ya 16. Imani Tatu katika Mungu wa Vitendo
Mei 28, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Mungu, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments


Sura ya 16. Imani Tatu katika Mungu wa Vitendo
Mwenyezi Mungu alisema, Ndani ya familia ya Mungu, kuna imani kadhaa tofauti katika Mungu; imani hizi tofauti lazima zitambulishwe ili kuona wewe ni wa gani.
Na imani ya aina ya kwanza, ambayo pia ni aina bora zaidi,...
Jumapili, 14 Aprili 2019
Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji
Aprili 14, 2019Kazi-ya-Mungu, Mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Usafishaji, VitabuNo comments

Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki....
Alhamisi, 30 Novemba 2017
Kuijua Kazi ya Mungu Leo

Kuijua Kazi ya Mungu Leo
Mwenyezi Mungu alisema, Kuijua kazi ya Mungu katika nyakati hizi, kwa sehemu kubwa, ni kumjua Mungu katika mwili wa siku za mwisho, kile ambacho ni huduma Yake kuu, na kile ambacho Amekuja kufanya duniani. Hapo mwanzoni Nimesema katika maneno...
Jumamosi, 11 Novemba 2017
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
Mwenyezi Mungu alisema, Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wetu wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu...
Jumapili, 15 Aprili 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I (Sehemu ya Pili)

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Sehemu ya Pili
Ili kuelewa tabia ya Mungu na Mungu Mwenyewe lazima muanzie na jambo dogo sana. Jambo hilo dogo sana mnalopaswa kuanzia ni nini? Kwanza kabisa, Nimezikusanya baadhi ya sura kutoka kwenye Biblia. Taarifa...